Karibu kwenye Maktaba ya Dignity ya Kiswahili
Vifaa vya kukusaidia wewe kushuhudia ujumbe wa Yesu, kuwapenda wengine kwa matendo, na kujenga kila siku Jumuiya ya Kikristo iliyo wazi kwa wote.
Hii ni maktaba jumuishi iliyoundwa toka Dignity na wengine wenye kushuhudia na kudhamini maono yetu. Kila kitu hapa ni bure kutumia na kupakua kwa sababu tunaamini kuwa vifaa hivi vinapaswa kuwa kwenye mikono ya wanao vihitaji, mahali popote walipo duniani.
Maisha Yameanza
Nataka kumshuhudia Yesu kwenye Jumuiya yangu
Mbegu moja hupandwa na mti huanza kukua.


Taarifa ya Maisha
Kipimo-kidogo cha kawaida cha kutia moyo na mawazo mapya kufanya kikundi chako kuvuviwa na kusonga mbele.
Maisha Hukua
Tunataka kukua kama wanafunzi wa Yesu na kupenda jumuiya yetu
Mti hukua imara na maisha yanayouzunguka hupendeza.






Maisha Huumba
Tunataka kuwasaidia wengine kuanzisha kile ambacho tumekianzisha.
Mbegu toka kwenye mti wenye nguvu hupelekwa kuoteshwa kwenye maeneo mapya.


Maisha Hukomaa
Tunataka kukua kama wanafunzi wa Yesu na kupenda jumuiya yetu
Mti hukua imara na maisha yanayouzunguka hupendeza.
Kuna kitu hapa kimekusaidia wewe?
Ikiwa kitu Fulani toka kwenye maktaba haya imekuwa ni ya manufaa kwenye jumuiya yako, kwenye kikundi chako au utume wako, tungependa kusikia kuhusu hayo. Na kama unaweza, tafadhali shiriki nasi kiuchumi – ikiwa ni Zawadi ya – mara moja au ya mara kwa mara – ili kutunza kazi hii na kukua kwa maktaba.
Unatafuta zaidi?
Chagua lugha ya tofauti kuangalia vifaa vinavyopatikana.
Ikiwa kifaa fulani unachokihitaji bado hakipatikani kwa lugha yako, tafadhali tujulishe.
Umependezwa kutusaidia kutafsiri vifaa hivi?
Ikiwa wewe au rafiki unacho kipawa cha kukalimani, tungependa kushirikiana na wewe kupanua maktaba haya. Tafadhali wasiliana nasi.
Pata ufikiaji wa haraka wa maktaba yetu
Tuambie kidogo kuhusu wewe na tutafungua machapisho yote kwenye tovuti. Unahitaji kufanya hili mara moja tu.
Kwa kujaza fomu hii unakubaliana na Dignity kuhifadhi jina lako na anwani ya tovuti yako kuendelea na upakuzi wako na kuelewa ni vifaa vipi vinavyotumika na wapi. Hatutatoa taarifa zako kwa mtu wa tatu. Unaweza kusoma Kanuni zetu za Binafsi na Kanuni ya Ulinzi wa Taarifa, na kufanya taarifa zako kuwa za wakati huo au unaweza kujiondoa wakati wowote.`