< Back to Library

Karibu kwenye Maktaba ya Dignity ya Kiswahili

Vifaa vya kukusaidia wewe kushuhudia ujumbe wa Yesu, kuwapenda wengine kwa matendo, na kujenga kila siku Jumuiya ya Kikristo iliyo wazi kwa wote.

Hii ni maktaba jumuishi iliyoundwa toka Dignity na wengine wenye kushuhudia na kudhamini maono yetu. Kila kitu hapa ni bure kutumia na kupakua kwa sababu tunaamini kuwa vifaa hivi vinapaswa kuwa kwenye mikono ya wanao vihitaji, mahali popote walipo duniani.

Maisha Yameanza

Nataka kumshuhudia Yesu kwenye Jumuiya yangu

Mbegu moja hupandwa na mti huanza kukua.

Issue Number:
Kipeperushi cha Kikundi cha Uzima
Kipimo-kidogo cha utambulisho kwenye kanuni nyuma ya Kikundi cha Uzima – rahisi kuelewa na nyepesi kushirikisha.
Issue Number:
Safari Kijijini
Maelekezo ya hatua-kwa-hatua ya matendo ya kuanzisha Kikundi cha Uzima na kuonyesha upendo na nguvu za Yesu ndani ya jumuiya yako.

Taarifa ya Maisha

Kipimo-kidogo cha kawaida cha kutia moyo na mawazo mapya kufanya kikundi chako kuvuviwa na kusonga mbele.

Nambari ya toleo
18
Mungu Hukimu Kwetu Sisi
Nambari ya toleo
17
Kuendesha Kikundi cha Uzima
Nambari ya toleo
16
Wabariki Wengine
Nambari ya toleo
15
Simama Imara
Nambari ya toleo
14
Kuleta Usawa
Nambari ya toleo
13
Maneno Hayatoshi

Maisha Hukua

Tunataka kukua kama wanafunzi wa Yesu na kupenda jumuiya yetu

Mti hukua imara na maisha yanayouzunguka hupendeza.

Issue Number:
Misingi 1
Kwa wale wanaoanza imani, kuchukua hatua ya kwanza kwa kumjua na kumfuata Mungu. Kitabu 1 ya 4 kwenye mtiririko wa Misingi.
Issue Number:
Misingi 2
Zamisha imani yako, imarisha maombi ya maisha yako na ukue kwenye uelewa wa Mungu. Kitabu 2 ya 4 kwe mtiririko wa Misingi.
Issue Number:
Misingi 3
Gundua namna mitume walivyoishi pamoja imeweza kiasili kubadilisha dunia iliyowazunguka. Kitabu 3 ya 4 kwenye mtiririko wa Misingi.
Issue Number:
Misingi 4
Chunguza nini maana ya kuwa mwanafunzi aliyekomaa na uone Kijiji chako kimebadilika hakika. Kitabu cha 4 ya 4 kwenye mtiririko wa Misingi.
Issue Number:
Penda Watoto Wako
Ona jinsi Watoto walivyo na dhamani kwa Mungu halafu mfanye kazi kwa pamoja kufanya jumuiya yako kuwa ni sehemu salama kwao kukua, kung’ara na kumjua Yesu.
Issue Number:
Penda Kijiji Chako
Gundua ni kwa nini na namna ya kupenda jumuiya yako ili muweze kuwasaidia wengine.

Maisha Huumba

Tunataka kuwasaidia wengine kuanzisha kile ambacho tumekianzisha.

Mbegu toka kwenye mti wenye nguvu hupelekwa kuoteshwa kwenye maeneo mapya.

Issue Number:
Rafiki Safarini
Jifunze namna ya kutembea pamoja na kuwafundisha wengine kwa namna alivyofanya Yesu, kwa matendo na kwa mahusiano.
Issue Number:
Panda
Jifunze zaidi ili uweze kuvuvia na kuandaa kikundi chako kiweze kuongezeka na kuanzisha vikundi vipya kwenye jumuiya yako.

Maisha Hukomaa

Tunataka kukua kama wanafunzi wa Yesu na kupenda jumuiya yetu

Mti hukua imara na maisha yanayouzunguka hupendeza.

No items found.

Kuna kitu hapa kimekusaidia wewe?

Ikiwa kitu Fulani toka kwenye maktaba haya imekuwa ni ya manufaa kwenye jumuiya yako, kwenye kikundi chako au utume wako, tungependa kusikia kuhusu hayo. Na kama unaweza, tafadhali shiriki nasi kiuchumi – ikiwa ni Zawadi ya – mara moja au ya mara kwa mara – ili kutunza kazi hii na kukua kwa maktaba.

Unatafuta zaidi?

Chagua lugha ya tofauti kuangalia vifaa vinavyopatikana.

Ikiwa kifaa fulani unachokihitaji bado hakipatikani kwa lugha yako, tafadhali tujulishe.

Umependezwa kutusaidia kutafsiri vifaa hivi?

Ikiwa wewe au rafiki unacho kipawa cha kukalimani, tungependa kushirikiana na wewe kupanua maktaba haya. Tafadhali wasiliana nasi.

Pata ufikiaji wa haraka wa maktaba yetu

Umefanikiwa – sasa unaweza kuingia maktaba yetu.
Oops! Something went wrong while submitting the form.